EAST & CENTRAL AFRICA PROFESSIONAL BOXING ASSOCIATION
Technology House 35-38 Ghalla Road, P.O BOX 8307 Moshi, Tanzania
Tel / Fax: 255-54743 E-mail: ECAPBA@YAHOO.COM
TAARIFA MAALUM
13 OCTOBA, 2012
JUA MAANA YA NEMBO YA MNYAMA SIMBA KWENYE MIKANDA YA UBINGWA WA ECAPBA
Nembo ya mnyama Simba
hapo juu kwenye ubingwa wa Afrika ya Mashariki na Kati ina maana ya
ushupavu, uvumilivu, ukali, na hatari ya mnyama simba mwenyewe alivyo.
Nembo
hii ilikubaliwa iwe ni alama ya kielelezo cha ubingwa wa ECAPBA ili
iweze kuonyesha kuwa mabingwa wote wa ECAPBA wana viwango
vinavyokubalika. Kesho ubingwa wa kati (Middleweight) katia ya bondia
Mtanzania Thomas Mashali na Sebyala Med wa Uganda utafanyika katika
ukumbi wa Friends Corner jijini Dar-Es-Salaam.
Nchi wanachama wa ECAPBA ni pamoja na Tanzania, Uganda, Kenya, Mawali, Rwanda, Burundi, Sudan, Ethiopia, Zambia na DRC Congo
إرسال تعليق