Na huu ndio Ujumbe wake kupitia mtandao wa kijamii wa facebook “Nagombea tena kutetea nafasi yangu kupitia VIJANA kama mjumbe wa NEC-CCM. Naamini nilitumikia chama vyema. Nategemea Msaada wenu kwenye Jambo hili”