Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilal leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
mara alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea
leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara
alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini Oman.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana
leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara
alipowasili kutoka katika ziara rasmi ya siku nne nchini.
PICHA NA IKULU
إرسال تعليق