JOH MAKINI ANASWA LIVE


PICHA yenye utata ya staa wa michano ya Hip-Hop Bongo, John Simon ‘Joh Makini’, imenaswa ikimuonesha akiwa katika pozi la ‘kimahaba’ na binti ambaye jina halikufahamika

Kwa mujibu wa mtoa habari, Joh Makini alipigwa picha hiyo akiwa na mrembo huyo hotelini wakati staa huyo alipokuwa mikoani kwenye shoo zake za hivi karibuni.




Mwandishi wetu alipomtafuta Joh Makini ‘Mweusi’ na kumuuliza kuhusu picha hiyo, alikiri kuifahamu na kuomba ipotezewe kwani hana habari na huyo binti.

Post a Comment

أحدث أقدم