MADONNA AVUA NGUO JUKWAANI

Madonna

The queen of pop Madonna ameamua kumsupport msichana Malala “Yousafzai” (14) aliyepigwa risasi kichwani na askari wa Taliban, ila support ya Madonna imekuwa ya aina yake ambapo aliimba wimbo wa Human nature kama dedication kwa msichana huyo huku akivua taratibu  nguo zake moja baada ya nyingine.
 Madonna stripped off to 'dedicate' her act to a Pakistani girl who is in hospital in a critical condition 

Madonna alikuwa katika concert ya tour yake ya MDNA Los Angeles, na Wakati anaendelea na tamasha lake ghafla alisimama na akasema “wataliban walimsimamisha na kumpiga risasi. Do you know the sickness and absurdity of this?” baada ya kuwaweka sawa audience akaongea kwa sauti ya juu “Support education!” kisha ukafata wimbo wa ‘Human by nature’ huku akivua nguo zake taratibu moja baada ya nyingine.
 In yet another 'controversial' act, the singer took her clothes off to support a cause that had touched her

Kufuatia kitendo hicho alichofanya Madonna kinacholeta mkanganyiko hasa ukifikiria connection kati ya kuvua nguo na kusupport harakati za msichana aliyepigwa risasi na askari wa Taliban, watu wengi wamem-criticize sana Mwanamuziki huyo mkongwe. Mtu mmoja alitweet “Not the right way to pay Homage to Brave Malala. It’s a way to earn cheap self popularity,” na mwingine akatweet “Does Madonna understand how stupid and offensive cavorting in her bra on behalf of Malala Yousafzai is? The Taliban will love it.”
Madonna shouted 'support education'... before taking her clothes off, angering Pakistani people who branded it 'cheap self popularity' 

Malala Yousafzai, ni msichana mwenye umri wa miaka 14 ambae alipigwa risasi akiwa katika gari la shule kwa sababu aliandika kwenye blog kuhusu
umuhimu wa elimu kwake, akipigania haki ya kupata elimu kwa watoto wa kike.

Post a Comment

Previous Post Next Post