Madonna |
The
queen of pop Madonna ameamua kumsupport msichana Malala “Yousafzai”
(14) aliyepigwa risasi kichwani na askari wa Taliban, ila support ya
Madonna imekuwa ya aina yake ambapo aliimba wimbo wa Human nature kama
dedication kwa msichana huyo huku akivua taratibu nguo zake moja baada
ya nyingine.
Madonna
alikuwa katika concert ya tour yake ya MDNA Los Angeles, na Wakati
anaendelea na tamasha lake ghafla alisimama na akasema “wataliban
walimsimamisha na kumpiga risasi. Do you know the sickness and absurdity
of this?” baada ya kuwaweka sawa audience akaongea kwa sauti ya juu
“Support education!” kisha ukafata wimbo wa ‘Human by nature’ huku
akivua nguo zake taratibu moja baada ya nyingine.
Kufuatia
kitendo hicho alichofanya Madonna kinacholeta mkanganyiko hasa
ukifikiria connection kati ya kuvua nguo na kusupport harakati za
msichana aliyepigwa risasi na askari wa Taliban, watu wengi
wamem-criticize sana Mwanamuziki huyo mkongwe. Mtu mmoja alitweet “Not
the right way to pay Homage to Brave Malala. It’s a way to earn cheap
self popularity,” na mwingine akatweet “Does Madonna understand how
stupid and offensive cavorting in her bra on behalf of Malala Yousafzai
is? The Taliban will love it.”
إرسال تعليق