Msafara
wa uliobeba Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo
Barlow ukiiingia kijijini kwao Kilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini
Mkoani Kilimanjaro siku ya Jumatano, Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi
Mkuu
wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akiingia kijijini kwa marehemu
Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo
BarlowKilema-Kyou,Wilaya ya Moshi Vijini Mkoani Kilimanjaro siku ya
Jumatano, Oktoba 17, 2012 tayari kwa mazishi
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akiwasili kwenye mazishi
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro Laordinas Gama akiwasili kwenye mazishi
Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kwenye gari
Aliyekuwa
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukiwa umebebwa
na maofisa wandamizi wa jeshi la polisi kuelekea kwenye mazishi
Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akitoa heshima zake za mwisho
Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silimaakitoa heshima zake za mwisho
Sehemu
ya umati mkubwa wa wananchi ukitoa heshima zao za mwisho kwa Aliyekuwa
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Mke wa Marehemu akilia kwa uchungu
Mwili wa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow ukishushwa kaburini
Mkuu
wa jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema akiweka shada la maua kwenye
kaburi la Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo
Barlow
Naibu
waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima akiwasili kwenye mazishi
akiweka shada la maua kwenye kaburi la Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa
wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow
Askari wa Jeshi la polisi wakito heshima zao za Mwisho kwa Aliyekuwa Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Liberatus Lyimo Barlow.
Picha zote na Mdau Ahmed Michuzi
Picha zote na Mdau Ahmed Michuzi
إرسال تعليق