Wachezaji wa Uingereza wakishangilia goli walilofunga dakika za
majeruhi.Mashabiki wa Serbia walikuwa wakiwazomea wachezaji Weusi kwa
kutoa milio ya Nyani,Kijana Danny Rose akiwapigia mpira washabiki na
refa alimpa kadi Nyekundu ndipo fujo zikaanza angalia hizi picha kutoka
uwanja wa Taifa wa Serbia.
Kocha wa Serbia akimpiga Kichwa kocha wa Uingereza kama mechi Maharage uwanja wa Biafra Kinondoni
Waserbia wakimsukuma kocha wa Uingereza
Kutokana hili kuna wachezaji watafungiwa kucheza na nchi ya Serbia nao watafungiwa kushiriki mashindano ya Eufa yetu masikio
إرسال تعليق