Na:- tanzaniteglamour
NAONA KILA BLOGGER ALIYEKUWA KAMUWEKA HUYU DADA NAWAONA WANADELETE BAADA
YA KUPATA UKWELI WA MAMBO KUTOKA TANZANITE GLAMOUR!!!!!! KAMA UPAPARAZI
HAMUUJUI ACHIENI NGAZI TAFADHANI NINA SNAP SHOTS ZA KILA BLOG NA
WEBSITE ZILIZOKUWA ZIMEMUWEKA HUYU MWANA DADA NA KUMDHALILISHA.
BADILIKENI WAAANDISHI WENZANGU, BADILIKENI WATANZANIA WENZANGU KUPARAMIA
MATRENI KWA MBELE KILA SIKU MTAGONGWAAAAAA!!!!!!!!!!! TANZANITE GLAMOUR
NDIYO TMZ YA BONGO KWA KUSEMA UKWELI SIWEKAGI HABARI ZA KIZUSHI WALA
KUDHALILISHA WATU, BLOG YANGU NI YA UWAZI NA UKWELI.........NIMEKUWA WA
KWANZA KUBREAK NEWS.... KAMA NAWAONA MABLOGGER MNAVYOANZA KUBLOGUA
UWIIIIIII......TUBADILIKE TUJIFUNZE KUWEKA HABARI ZA UKWELI. REST IN
PEACE RPC WETU.......
KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS: http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/kuuawa-kwa-rpc-huyu-anajua-mengi
KUMEKUWA NA TABIA YA
BAADHI YA WATU KUTUMIA MITANDAO KUANDIKA HABARI ZA UZUSHI ZISIZOKUWA NA
UKWELI NA KWASABABU WATANZANIA WENGI MNAAMINI KILA MKISOMACHO KATIKA
MITANDAO SIKU MTAKUJA PATA AIBU KWANI MTAKUTANA NA MAMBO YAAJABU. KATIKA
PITA PITA ZANGU JAMANI HUYU DADA ALIYEWEKWA KATIKA HILI GAZETI AKIDAIWA
KUHUSISHWA NA MAUAJI YA RPC WETU SIO KWELI. HUYU MWANA DADA NI
MMAREKANI SIO HATA MTANZANIA, WALA HAJAWAHI KUFIKA TANZANIA.
IVI KWELI MNACHUKULIA
MZAHA KWA KIFO CHA RPC WA MWANZA KWELI? HAMUONI AIBU KUANDIKA MAMBO
AMBAYO HAYANA UKWELI JAMANI? HAMUIONEI HURUMA FAMILIA YA KAMANDA WETU
WAKATI WANATAKA KUJUA NANI ALIYE MUUA RPC KWELI JAMANI!!!!!! AIBU KUBWA
KWA GAZETI HILI LILILOMCHAPISHA HUYU DADA. SASA PATA UHAKIKA......
NAWAOMBA WA TANZANIA WENZANGU MCLICK KATIKA HII LINK MJISOMEE WENYEWE LABDA MIE KIPOFU NISAIDIE KUNIPOFUA TAFADHALI http://thegrio.com/2012/07/06/study-obesity-in-black-women-linked-to-childhood-abuse/
New research has established a link between obesity in black women and sexual and physical abuse in childhood, according to the Los Angeles Times.
This study “was the first… to look at a large group of African American women for this association,” thenewspaper states,
“which has been found among women in previous studies, the researchers
from Boston University said in the August issue of the journal
Pediatrics.”
Data culled from an
ongoing project called the Black Women’s Health Study found that 11
percent of 33,298 women polled in 2005 had been severely sexually or
physically abused; 58 percent had experienced at least one instance of
maltreatment. (A previous study placed the rate of sexual abuse experienced by black women at 60 percent.)
Boston University
researchers found that severe childhood abuse was associated with
depression, smoking, and being overweight in adulthood. Marriage and
economic stability for black women had an inverse relationship to the
level of abuse experienced.
Statistics from the U.S. Office of Minority Health show
that “African American women have the highest rates of being overweight
or obese compared to other groups in the U.S.,” at a rate of “four out
of five African American women.” This phenomenon has created a crisis of
preventable conditions such as diabetes and heart disease among those
affected.
High levels of obesity among black women has been a hot topic of recent debate. The New York Times published a controversial essay in early May by novelist Alice Randall, in which she says black women are fat out of personal preference.
Discussions of black women’s obesity rippled on for many days inspired by Randall’s opinion, with one author countering that black women are not fat out of preference, but because of “poverty, as well as lack of education.”
This latest study
provides an additional level of causes to consider. While the study
authors explained that definitive causes of obesity in adulthood are
difficult to determine, emotional eating as a result of early trauma
might be a “common sense” method of coping with abuse.
Follow Alexis Garrett Stodghill on Twitter at @lexisb.
MIE HUWA NASEMA
KILA SIKU NI ONLY STUPID PEOPLE WITH LOW THINKING CAPACITY WATAKAOWEZA
KUFANYA MAMBO KAMA HAYA, MIJINAMIZI MINGI IMEKUWA IKITUMIA MITANDAO
KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI IKIFIKIRIA INAJIPATIA UMAARUFU KUMBE NI
KUJIDHARAULISHA. WATANZANIA WENZANGU TUELIMIKE TUBADILIKE TUSIAMINI KILA
TUKISOMACHO MITANDAONI NA MAGAZETINI, WENGI HUWA WANAKUWA NA MA
FRUSTRATIONS WANAONA PAKUMALIZIA NIKUANDIKA UZUSHI USIO KUWA NA UHAKIKA.
KIFO CHA RPC WA
MWANZA KILINIUMA SANA TENA SANA BASI TUU NILIKUWA SUPER BUSY KTK
KUREKEBISHA MAMBO YA KIFAMILIA NIKASHINDWA KUWA NAWARUSHIA MATUKIO ILA
NIMEUMIA SANA NIKIWA KAMA MTANZANIA KUONA MAGAZETI YA TANZANIA
YAKIANDIKA HABARI ZA KIZUSHI, MA BLOG KUANDIKA MAHABARI ZA KIZUSHI
MAFACEBOOK KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI. TUBADILIKE TUANDIKE MAMBO SAHIHI
NASIO UZUSHI.
HUNA HABARI
KABADILISHE MTOTO NEPI, KAFUE NGUO, KAPIKE, NENDA KANISANI/MSIKITINI/
TUBU DHAMBI AU FANYA LOLOTE LA MAANA ZAIDI YA KUKALISHA TAKO CHINI
KUANDIKA HABARI ZA KIZUSHI KAMA HIZI. NIMEUMIA SANA.
NAIOMBA SERIKALI YANGU NA JESHI LA POLISI KUFUATILIA KWA KINA KWANINI HILI GAZETI WAMEPUBLISH INFO ZA UZUSHI NA UONGO.
YAANI
SIJUI TANZANIA TUNAELEKEA WAPI? SIJUI
KWANINI WATU HAWAFUATI SHERIA ZA
UANDISHI
KHAAAAA AIBU TUPU!!!!!!! YAANI FAMILIA YA
MAREHEMU
WANALIA
WANAUMIA KUMPOTEZA MPENDWA WAO,
MAGAZETI WANAFIKIRIA NAMNA YA KUMCHAFUA
RPC
WETU KAMANDA WETU ALIYEFANYA KAZI NZURI YA
KUJENGA TAIFA KUTULINDIA
RAIA WETU WAO
WANAFIKIRIA WADANGANYE NINI KUPATA PESA
WAKIUZA MAGAZETI
SHAME SHAME SHAME
SHAME!!!!!!!!!!!!!!
إرسال تعليق