VITUKO VYA FIDELINE IRANGA ANAYEJIITA "LADY GAGA WA BONGO"


Huyu ni Mwanamitindo wa muda mrefu, Fideline Iranga a.k.a Lady Gaga wa Bongo.Naamini sote tunamjua......

Mambo anayoyafanya siku  hizi  ni aibu tupu.Hivi karibuni, picha zake za utupu zilisambaa mtandaoni  kwa kasi......

Katika utetezi wake alidai kuwa zilisambazwa  na mtuambaye  alikuwa ni  mpenzi wake.........

Sidhani kama utetezi huo  ulikuwa  na  ukweli ndani yake.Mi nadhani ni  kwa  sababu  umaarufu wake  na ndoto  finyu  ya  kutamani kuwa  kama  Lady Gaga.


Post a Comment

Previous Post Next Post