Mshindi wa kwanza wa shindano la
Mama
Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma (kushoto)
akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa
Chakula, 2012.
Katikati ni mshindi wapili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha,
kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January
Makamba.
Washindi watatu bora kwenye shindano
la Mama Shujaa wa Chakula 2012 kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri wa
Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba wakati wa hafla
ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman akimpongeza mshindiwa kwanza wa
shindano la Mama Shujaa wa Chakula Sista Martha Mwasu kutoka mkoani
Dodoma wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya
Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano, Imani Kajula akiwapongeza washiriki wa Mama
Shujaa wa Chakula 2012 wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi
mashindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Washiriki wa shindano la Mama wa Shujaa wa Chakula 2012 wakiwa zawadi walizokabidhiwa na Benki ya NMB baada ya shindano hilo
إرسال تعليق