HomeAUDIO Download | Obi - Nilipokuona [Audio] Hisia January 21, 2013 0 Mambo vipi wadau, Naomba sapoti yenu kwa ngoma mpya ya mwenzangu Obi Elinami. Track inaitwa Nilipokuona,ni Swahili RnB, imetengenezwa Kenaib Production jijini DSM chini ya Obi Elinami mwenyewe. Pamoja sana watu wote wa media. Asante //JanB
Post a Comment