Kwa
Niaba ya Familia ya Bi Arafa (Pichani) Napenda kutoa shukrani za Dhati
kwa wale wote ambao waliguswa na hali ya Mgonjwa huyu na kuridhia
kumchangia ili kumtoa wilayani Ruangwa na kuwezesha Mimi kumfikisha
katika Hospital ya Muhimbili Mwezi Nov 2012 na juzi kufanyiwa Upasuaji.
Hali ya Mgonjwa huyu inaendelea vema katika hospital ya Muhimbili
akisubiria kutoa Nyuzi Mungu aliwawezesha kumsaidia mpaka hali
ilivyofikia sasa na Kubwa Nawaomba Muendelee kumuombea Dua ili aweze
kupona na kuendelea kujitafutia kipato cha kila siku Ahmed Abdullaziz Lindi. Ahsanteni sana |
Post a Comment