Nisha and Samir |
Baada ya Habari kuwa anatoka na Ney wa mitego siku za nyuma kuenea kwenye mtandao ikiwemo na picha alizopiga na Ney wa Mitego wakiwa faragha....Sasa chanzo kimoja cha habari kimehabarisha kuwa sasa Nisha anatoka na Samir pichani....Tutafatilia kujua ukweli wa Jambo hili.....OMG they look Nice together.....Hongera Nisha...
إرسال تعليق