TAARIFA KUHUSU THIERRY HENRY KUWA KOCHA WA ARSENAL.

Wenger Na Thierry Henry
Aliyekuwa Mshambuliaji wa Arsenal Miaka Michache iliyopita Thierry Henry Amesema Ameshaombwa na timu tofauti kuwa kocha wa timu hizo atakapo staafu Mpira ila bado mapenzi yake yapo kwa Arsenal na akipewa kazi hio atafurahi. Chanzo Cha habari hizi kimesema manager wa MLS amesha muomba Henry abaki Marekani baada ya mkataba wake na New York Red Bulls Kuisha.
Picha Hapo chini inaonyesha kuwa bado Henry na Wenger wanawasiliana na wana mahusiano mazuri toka Henry atoke Gunners Na Kwenda Barcelona Mwaka 2007.

Post a Comment

أحدث أقدم