HII IMEKAAJE WADAU WA MZIKI, MADEE - POMBE YANGU, KIPENGELE HIKI CHA WADADA HAWA KUNYONYANA NDIMI ZAO?
Hisia0
Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya
wimbo wa Madee ‘Sio Mimi’ hatimaye imetoka. Ni video kali lakini ina
tatizo moja la usagaji...
Ndani ya video hiyo kuna sehemu
inayoonesha wasichana wakinyonyana ndimi na hivyo kuchochea masuala ya
usagaji. Sehemu hiyo inaweza kuchangia video hii kupigwa vita.
Picha za wasichana wakinyonyana ndimi kwenye video hiyo
إرسال تعليق