Walinzi
wa Chadema wakiwa wameninginia kwenye gari la Kiongozi wa Upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe wakati wakielekea kwenye
mkutano wa hadhara wa
chama hicho uliofanyika katika Uwanja wa Wajenzi, mjini Dodoma, Jumamosi
iliyopita. Picha na Edwin Mjwahuzi
إرسال تعليق