Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi
wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi
wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa amazungumzo leo. Picha na OMR
Post a Comment