LIST YA ''NOTHING BUT TRUTH'' YA JAY DEE

Lady Jay Dee
Mwanamuziki: Lady Jay Dee anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la ''Nothing but Truth'' na miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye Albam hiyo ni  Joto Hasira, Yahaya, Njiwa, Nimekusamehe, Historia & Tell Him.

Post a Comment

Previous Post Next Post