|
Lady Jay Dee |
Mwanamuziki: Lady Jay Dee
anatarajia kuachia hivi karibuni Albam yake ya sita aliyoipa jina la
''Nothing but Truth'' na miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye
Albam hiyo ni Joto Hasira, Yahaya, Njiwa, Nimekusamehe, Historia &
Tell Him.
إرسال تعليق