Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kitaifa Mh. Bernard Membe muda mfupi baada ya kufungua mkutano
wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika jana jijini Dar es
Salaam, ambacho ni kikao cha 368 na katika ajenda zake pia
kitazungumzia mgogoro wa Madagascar.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO
إرسال تعليق