PICHA 6, ZINAZOONYESHA SEHEMU TOFAUTITOFAUTI GAMBOSI - BARIADI, NA HALI ILIVYOKUWA SIKUHIZI

SAFARI YA GAMBOSI MKOANI SIMIYU ILI FANA SANA JAMANI. ACHENI KUSIKILIZA MANENO YA MTAANI GAMBOSI PAKO POUWA ILE KINOMA RAIA WAKE WAKALIMU SANA YAANI FULL RAHA. WANANCHI WAKE WANAJISHUGHULISHA NA KILIMO NA HAYA NI BAADHI YA MASHAMBA TULIYO TEMBELEA KATIKA KIJIJI CHA GAMBOSI
 Picha Na:- Hassan Salum

Post a Comment

أحدث أقدم