WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Askari wa Kikosi cha Zimamoto mkoani Iringa akionyesha namna ya kuzima moto kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa,wakati wa mafunzo ya tahadhari ya moto na jinsi ya kujikinga na moto pamoja na mbinu za uzimajimoto,yaliyofanyika Chuoni hapo.
Mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa akifanya mazoezi ya uzimaji moto wakati wakufunga mafunzo hayo.Picha na Francis Godwin

Post a Comment

أحدث أقدم