iri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa
akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa
Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza ambapo baadae viongozi hao walifanya
mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu
za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali
kuboresha zaidi sekta hiyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa
akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Vodacom Tanzania
Bw.Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania(katikati)akiwa na ujumbe wake walipomtembelea Waziri
Prof:Mbarawa na kuwa na mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika
sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya
kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa
akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Mitandao wa Vodacom Tanzania Bw.Alec
Mulugo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania(kulia)akiwa na
ujumbe wake walipomtembelea Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia
Prof: Mbarawa na kuwa na mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika
sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya
kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo
إرسال تعليق