RJ YALETA VIFAA VIPYA

Katika kuhakikisha kwamba ubora wa filamu Nchini Tanzania unazidi kukua kampuni ya RJ Company imeshusha vifaa vingine vya kisasa ili kuzidi kuongeza ubora wa kazi katika kampuni yetu ya RJ Company kama kawaida slogan yake inavyosema BEST QUALITY EVER kwa hiyo wadau wa tasnia hii mtegemee mazuri toka katika kampuni yako bora ya RJ Company..

Hapa tukianza kuifunga Camera mpya ya kisasa..

Tukiwa makini katika swala zima la ufunguji wa Camera.

Kijana wangu Razack Ford akiwa makini katika kuifunga Camera hiyo...

Boom Mic ya kisasa kama mnavyoona wadau mambo yatakuwa sio mchezo..

Hapa mambo yakiwa yamekamilika wadau

Camera

Post a Comment

Previous Post Next Post