Mkurugenzi wa masoko wa TBL Kushilla Thomas mwenye
shati jeupe akishirikiana na wadau mbalimbali katika futari maalum
iliyoandaliwa kwaajili kufuturu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo futari
hiyo iliandaliwa na kinywaji kisicho na kilevi cha Grandmalt.

Wadau mbalimbali wakiongozwa na Kabula Nshimbo
wakishirikiana na wadau mbalimbali katika futari maalum iliyoandaliwa kwaajili
kufuturu katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo futari hiyo iliandaliwa na
kinywaji kisicho na kilevi cha Grandmalt.
Meneja masoko wa Tbl Fimbo Mohamed Buttala akizungumza na
waandishi wa habari kwenye futari maalum iliyoandaliwa na kinywaji cha
GrandMalt ikiwa ni sehemu ya kutambua Mwezi mtukufu wa ramadhani ambapo futari
hiyo iliandaliwa na kinywaji kisicho na kilevi cha GrandMalt
Meneja wa Chapa ya Safari Lager, Oscar Shelukindo nae akijisevia futari.
إرسال تعليق