Mtoto huyu mchanga anaitwa
Aisha aliletwa kituo cha kulelea watoto yatima na kupokelewa na mkuu wa
kituo hicho Bi Saida Hassan kwa jina la hapo mtaani watu hupenda kumwita
Bi Khadija. Mtoto huyu aliletwa baada ya mama yake mzazi kufariki na,
na pia bibi yake alifariki na baada ya hapo baba yake na Aisha alipooza
(paralyse) mpaka kupelekea kichanga hicho kutopata msaada wowote. Ila Bi
Khadija aliamua kumchukua mtoto huyo na kuanza kumlea. Kwa yeyote
aliyeguswa ampigie simu Bi Khadija kwa simu ya mkonono ambayo ni
0754584926 ukitaka kufika kituo hiki cha cha wa mama kipo Sinza Mori,
Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment