Kichanga champoteza mama yake, bibi yake, kama haitoshi baba yake akapooza

Picture
Mtoto huyu mchanga anaitwa Aisha aliletwa kituo cha kulelea watoto yatima na kupokelewa na mkuu wa kituo hicho Bi Saida Hassan kwa jina la hapo mtaani watu hupenda kumwita Bi Khadija. Mtoto huyu aliletwa baada ya mama yake mzazi kufariki na, na pia bibi yake alifariki na baada ya hapo baba yake na Aisha alipooza (paralyse) mpaka kupelekea kichanga hicho kutopata msaada wowote. Ila Bi Khadija aliamua kumchukua mtoto huyo na kuanza kumlea. Kwa yeyote aliyeguswa ampigie simu Bi Khadija kwa simu ya mkonono ambayo ni 0754584926 ukitaka kufika kituo hiki cha cha wa mama kipo Sinza Mori, Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

أحدث أقدم