Amesema atakaporejea Tanzania atavaa kava maalum usoni ili na yeye asije akamwagiwa.
“Duh Bongo pamechafuka aiseeee….. … Inatisha sana…. Yaani lazima
nipige hiki kitu nikiwa Bongo….nsije pofuliwa macho bure…..hehhhehe,”
aliandika kwenye Instagram.
“Hivi huyu aliyemwagia alijuaje kuwa atamkuta outside his supermarket
at that particular moment and at that particular supermarket?…Duh, i
smell conspiracy …Aisee nikija bongo ntajiweka tindikali cover.”
Hivi karibuni mmiliki wa Home Shopping Centre alimwagiwa tindikali usoni na hadi sasa amelazwa nje ya nchi.
Post a Comment