Kijana
wa Kitanzania, Hamisi Kondo ameibuka mshindi wa dunia katika mashindano
ya kuruka kamba yaliyofanyika nchini Marekani July 5 hadi Julai 13
mwaka huu.
Mashindano hayo yalihusisha nchi 14 zikiwa na wachezaji 480, huku
bara la Afrika likiwakilishwa na Tanzania, Kenya na Afrika ya Kusini
ambapo Hamisi mwenye umri wa miaka 14 aliweza kujinyakulia ushindi huo.
إرسال تعليق