Wema Sepetu miss Tanzania aliyegeuka
kuwa muigizaji, ameweka wazi kwamba anataka kuimba na katika
kuthibitisha hilo ameshaandika mistari kadhaa ya anachotaka kuimba. Wema
alishawahi kuimba kwenye wimbo wa kuhamasisha kumchangia msanii Sajuki
wakati anaumwa. Wimbo huo unaitwa “Mboni yangu”, so kuingia kwenye booth
kurekodi wimbo sio kitu kipya kwa Wema Sepetu. Hii ni baadhi ya mistari
ambayo ameshaandika Wema Sepetu kwa ajili ya wimbo huo.
Mwambie wake ni mimi, na kwangu moyoni atabaki ni yeye, tena mwambie bado silali kutwa nawaza penzi langu… ila siku atakugundua kuwa mi ndo mwenyewe
Mpaka sasa hivi ni wimbo mmoja Wema alirekodi kwa kushirikiana na Snura ambapo Tunda Man alishiriki pia kuuandika

إرسال تعليق