Ijumaa
hii J-Martins atakuwa host wa East Meets West Party itakayofanyika
kwenye kiota cha Elements Lounge, Masaki jijini Dar es Salaam.
Usiku huo pia, utafanyika uzinduzi wa video ya wimbo wa Mwana FA na AY, ‘Bila Kukunja Goti’ ambao wamemshirikisha J-Martins.
إرسال تعليق