Bongo Fleva ft. Taarab: Tarajia collabo ya Lady JayDee na malkia wa Taarab Khadija Kopa

Jide & Kopa
Msanii anayeiongoza chati ya muziki wa kizazi kipya Tanzania ‘Marimba Music Chart’(MMC) kwa takriban wiki 7 sasa katika nafasi ya kwanza Judith Wambura aka Lady JayDee, wiki hii alikuwa Bagamoyo kwa role model wake Khadija Kopa ambaye wanatarajiaa kufanya kitu pamoja.

Lady JayDee na Khadija Kopa
Hit maker wa ‘Yahaya’ ametweet kuwa alienda Bagamoyo kumuomba malkia wa muziki wa Taarab nchini Khadija Kopa waweze kufanya wimbo pamoja.

Post a Comment

Previous Post Next Post