Msanii anayeiongoza chati ya muziki wa kizazi kipya Tanzania ‘Marimba Music Chart’(MMC)
kwa takriban wiki 7 sasa katika nafasi ya kwanza Judith Wambura aka
Lady JayDee, wiki hii alikuwa Bagamoyo kwa role model wake Khadija Kopa
ambaye wanatarajiaa kufanya kitu pamoja.
Lady JayDee na Khadija Kopa
Hit maker wa ‘Yahaya’ ametweet kuwa alienda Bagamoyo kumuomba malkia
wa muziki wa Taarab nchini Khadija Kopa waweze kufanya wimbo pamoja.
Bagamoyo na rolemodel wangu Khadija Kopa nimefika kuomba collabo pic.twitter.com/Xr9tfnxTO3
— Lady JayDee (@JideJaydee) September 4, 2013
إرسال تعليق