Darasa la Saba Washerekea Kumaliza Mitihani


Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Tabata wakifurahia mara baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kumaliza elimu hiyo kwa shule ya msingi.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la Saba Shule ya Msingi Tabata jijini Dar es Salaam wakifurahia mara baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kumaliza elimu hiyo kwa shule ya msingi.
Pichani juu ni baadhi ya wanafunzi wa Darasa la Saba Shule ya Msingi Miembeni, Vingunguti ya Jijini Dar es Salaam wakifurahia mara baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kumaliza elimu hiyo kwa shule ya msingi.
Baadhi ya wanafunzi hao wa Darasa la Saba Shule ya Msingi Miembeni, Vingunguti ya Jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kumaliza elimu hiyo kwa shule ya msingi. Darasa la Saba nchini kote walianza mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi jana Septemba 11, 2013 na wamemaliza mitihani hiyo leo Septemba 12, 2013.
Picha Na:-  thehabari

Post a Comment

أحدث أقدم