Diamond Platnumz kesho kuchat na mashabiki kwenye kurasa za Vodacom za Facebook na Twitter

image001
Ongea live na Diamond Platnumz kesho saa 8 mchana katika kurasa za Vodacom za Facebook na Twitter. Kama una swali lolote tafadhali usikose kujiunga naye muda huo kwa link hizi: www.facebook.com/tzvodacom na www.twitter.com/vodacomtanzania.

Post a Comment

أحدث أقدم