Fiesta moro ilikuwa ni noma saaana....!

 Wakazi wa mji kasoro Bahari wakiwa ndani ya uwanja wa Jamhuri wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 noma saana.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana kihip hop,Stamina akishusha mistari yake live mbele ya maelfu ya mashabiki wa tamasha hilo usiku wa kuamkia leo.
 Palikuwa hapatoshi ile kinoma nomaaa,afu ilikuwa hakuna kukausha kabisaaa full mizuka na mayowe kila kona ya uwanja.
 Mmoja wa wasanii kutoka kundi la Wanaume Halisi-TMK,JB pamoja na ulemavu wake wa miguu ana uwezo mkubwa wa kuwarusha mashabiki,kama auonavyo pichani akiwaimbisha mashabiki wake.
 Mkali mwingine na mkongwe katika anga ya muziki wa Bongofleva,Sir Kassim Juma Nature akitumbuiza jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2013.
 Baba kasema Fiesta ni noma saana,ukilisikia tu kama vipi fuata upate na fursa humo humo

Post a Comment

أحدث أقدم