Juma Nature amdiss Crazy GK, ni kwa kauli yake kuwa ni ‘Mungu wa TMK - Video


Maneno ya King Crazy GK wakati akitambulisha wimbo wake mpya hivi karibuni kuwa yeye ni Mungu wa TMK Wanaume akimaanisha kuwa bila yeye isinguwepo, hayajamuingia akilini kiongozi wa TMK Wanaume Halisi, Juma Nature na ameamua kumjibu.
Akiongea wakati wa safari ya kuelekea Morogoro kwenye Fiesta, Juma Nature amemponda GK na kudai kuwa hana lolote na wimbo alioutoa ni mbaya. Tazama video hiyo kumsikia.

Post a Comment

أحدث أقدم