Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni
ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam leo Sept 5, 2013 akiwa na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya
Zante, waliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 5,
2013 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Kampuni
ya simu za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 5, 2013. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
إرسال تعليق