Msichana huyu pichani alishuka kwenye
kimin bus na kuanza kupigana na boyfriend wake. Yani alifikia hadi hatua
ya kuvua nguo ili apate attention ya boyfriend wake na watu waliokuwa
wanashuhudia tukio hilo la aibu.
Kutokana na taarifa zilizokusanywa na Reportghananews.com, msichana huyo alikasirika baada ya kujua kuwa boyfriend wake huyo anamahusiano ya kimapenzi na dada yake mwenye miaka 17.
Hivi ilikuwa kitu sahihi kweli
kujidhalilisha yeye na boyfriend wake mbele za watu hivyo?Eti kisa
kaibiwa....jamani these things happens everyday na maisha yanaendelea
yanini sasa kuongezea uharibifu,kuibiwa uibiwe wewe,kuvua nguo uvue
wewe,si ndo majanga yenyewe haya?!
إرسال تعليق