Jumapili
hii ya Septemba 22, 2013, Mubelwa Bandio atafanya mahojiano na Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Dk Wilbrod Slaa
aliyeko safarini nchini Marekani kwa sasa.
Ili mahojiano hayo yailenge na kuigusa jamii, unaombwa kuuliza swali au kutoa dukuduku kuhusu jambo ambalo unadhani Dk Slaa ndiye mtu sahihi wa kulitolea ufafanuzi.
Mubelwa atapita hapa mara kwa mara kukusanya maswali.
Mwisho wa kutuma maswali hayo ni siku iyo hiyo ya Jumapili, saa mbili asubuhi (08:00 am EST) majira ya Mashariki ya Marekani ambayo ni saa tisa alasiri (03:00 pm) majira ya Afrika Mashariki.

إرسال تعليق