KUNA TETESI KUWA wanyarwanda na wahamihaji wengine wanadhaniwa kuwa ni haramu vipindi vya uchaguzi walikuwa wakishiriki katika taratibu zote za uchaguzi kwa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu ra kupigia kura na kumiliki vitambulisho halali vya kupigia kura kisha kufanya uchaguzi kwa kukipigia kula chama TAWALA
KWA HOFU YA KUONDOLEWA AMA KUFUKUZWA NCHINI ENDAPO CHAMA TAWALA KINGEANGUKA MADARAKANI na hivyo kupelekea chama pinzani kushika dola na hatimaye kujenga hofu miongoni mwao ya kutokea mabadiriko ambayo yangepelekea wao kufukuzwa nchini.NAUNGA MKONO SERIKALI KUCHUKUA HATUA HII

SWALI WAMEWAFUKUZA NA WANAENDELEA KUWAFUKUZA JE HII ITAPELEKEA KUIONDOA CCM? jamiiforums.