Kikosi
cha timu ya wavulana kinachoshiriki michuano ya Airtel Rising stars
nchi Nigeria wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika
uwanja wa Julius Kambarage nyerer kuelekea Nigeria kwenye michuano ya
Afrika inayoshirikisha timu kutoka nchi 17 barani Afrika .Wa kwanza
kulia ni mwakilishi wa Airtel Bi Lilian Kibiriti
Kikosi
cha timu ya wasichana kinachoshiriki michuano ya Airtel Rising stars
nchi Nigeria wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika
uwanja wa Julius Kambarage nyerer kuelekea Nigeria kwenye michuano ya
Afrika inayoshirikisha timu kutoka nchi 17 barani Afrika. (mwenye shuti)
ni kocha wa timu hiyo Rogacian Kaijage .
Kikosi
cha timu ya Airtel Rising stars wakati wa ufunguzi wa michuano ya
Airtel Rising Stars ya Afrika inayozinduliwa rasmi jana (jumatatu)
Nchini Nigeria na kushirikisha timu kutoka katika nchi 17 barani Afrika
======== ====== ========
Timu zinazoshiriki michuano ya vijana ya Airtel Rising Stars zawasili nchini Nigeria
· michuano hiyo inafanyika Lagos, Nigeria kuanzia 16 hadi 22 September 2013.
Timu
zinazoshiriki michauano ya pili ya Afrika ya Airtel rising Stars
inayofanyika nchini Nigeria mwaka huu zimewasili ambapo michuano hiyo
imeanza rasmi jana katika viwajnja vya Agege. michuano hiyo imeudhuriwa
na wachezaji guru wakiwemo Rober Pires mchezaji nyota wa zamani wa
kablu ya Arsenal
Timu
ya Zambia ilikuwa yakwanza kutua siku ya Ijumaa ikifatiwa na timu ya
Ghana iliyotua muda mchache baadaye siku hiyo. timu ya mabigwa watetezi
kutoka Niger ilitua katika uwanja wa ndege wa Murtala Mohammed International siku ya jumamosi mchana pamoja na timu kutoka Congo Brazzaville
kikosi
cha timu ya Tanzania kiliwasili siku ya jumapaili chini ya kocha Abel
Mtweve na timu nyingine zinategemea kuwasili kabla ya michuano hiyo
kuanza siku ya jumatatu
michuano
ya Airtel Rising stars ni michuano ya kipekee ya nchi za Afrika yenye
lengo la kuvumbua na kukuza vipaji huku ikiwezesha nchi za Afrika
kupata wachezaji wa timu za taifa
kwa
kupitia mashindano haya Airtel inatoa nafasi kwa vijana hawa kutimiza
ndoto zao, na kuonyesha uwezo wao kwa zaidi ya mamilioni ya watu alisema
mkurugenzi mkuu wa Airtel Nigeria bwana Segun Ogunsanya
aliongeza
"wachezaji wengi wameshiriki michuano mikubwa kama hii kwa mara ya
kwanza na wanafurahia kupata nafasi ya kushindana na wachezaji nyota
wengine toka katika nchi mbalimbali. kwa wiki nzima tunaamini wachezaji
hawa watabaki na kumbukumbu ya mpira ambayo wataifurahia katika maisha
yao siku zote"
michuano
ya Airtel Rising stars itafanyika nchini lagos Nigeria kuanzia tarehe
16 hadi 22 septemba 2013. wachezaji nyota waliochaguliwa watashiriki
katika clinic itakayosimamiwa na makocha wa Manchester united
inayotegemea kufanyiaka mwaka kesho April 2014 nchini Lubumbashi (Democratic Republic of Congo).
إرسال تعليق