AJALI KATIKA LANGO KUU LA KUINGILIA MABASI UBUNGO JIJINI DSM


Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali hiyo  imehusisha magari 6 likiwemo UDA .Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

 
 
 

Post a Comment

أحدث أقدم