Diamond na Wema mahaba motomoto!

Wakiwa wanazidi kudhihirisha kuwa mapenzi yao yako hai bado,mastaa wawili walioungana kimapenzi Diamond Platinumz na Wema Sepetu jana kupitia Instagram kila mmoja alifunguka live jinsi anavyom-feel mwenzake.

Huku muonekano mpya wa kipara cha Wema ukiendelea kuwa gumzo kwenye mitandao kwa wengine kudhani ni jinsi gani Diamond kaupokea muonekano huo,Kijana huyo mtanashati aliamua kufunguka na kukata mzizi wa fitina kabisaa..


Na Wema nae baada ya muda mfupi alijibu mapigo kwa kutupia picha hii yenye caption ya mahaba ndani yake...kila la kheri kwao.

Post a Comment

Previous Post Next Post