GUARDIOLA ATOA SIRI YA USHINDI NDANI YA KIKOSI CHAKE.

Kocha mkuu wa klabu ya Bayern Munich,Mhispaniola Pep Guardiola ameamua kuweka wazi kile ambacho kinafanya vijana wake hao kuwa na matokeo mazuri uwanjani na huku wakionyesha mchezo mzuri. Guardiola alisema mafanikio pekee katika timu yake ni vile wachezaji wamekuwa  wakifanya kazi ngumu kuanzia mazoezini hadi kwenye mechi,hali inayopelekea kuwapa mazingira mazuri ya kufunga.

Post a Comment

أحدث أقدم