Kampuni ya Zantel Yahamishia Shuhughuli za Malipo Bara

Kampuni ya simu ya Zantel rasmi inahamishiya shughuli zake za malipo huko Tanzania Bara,

habari zilizotufikia hapo jana kuwa shughuli zote za ununuzi na malipo zitafanyika T/Bara,
kwa hali hii Zanzibar sasa itakuwa sawasawa na mikowa ya Tanganyika. kwa mujibu wa wasimamizi wakuuu wa kampuni huu ni mkakati wa kukabiliana na changamoto za kiushindani.Zoezi hili likiwa linafanyika sambamba na kuwahamisha baadhi wafanyakazi amabao ni wasimamizi wakuu katika vitengo vya Zanzibar.

Post a Comment

أحدث أقدم