Wakati
rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete
anatarajia kuhutubia bunge la katiba Dodoma kesho pamoja na kuzindua
rasmi bunge la katiba, kauli ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya
katiba aliyoitoa bungeni hivi karibuni imeungwa mkono na msanii wa
kizazi kipya Bonta.
Mwenyekiti Jaji Warioba alisema maoni ya wananchi anataka serikali tatu, serikali ya Zanzibar, serikali ya Zanzibar na serikali ya Muungano…Bonta huyu hapa.
Mwenyekiti Jaji Warioba alisema maoni ya wananchi anataka serikali tatu, serikali ya Zanzibar, serikali ya Zanzibar na serikali ya Muungano…Bonta huyu hapa.
Post a Comment