Maelezo/Audio;- BONTA AUNGA MKONO MAPENDEKEZO YA RASIMU YA KATIBA YALIYOWASILISHWA NA JAJI WARIOBA

Wakati rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete anatarajia kuhutubia bunge la katiba Dodoma kesho pamoja na kuzindua rasmi bunge la katiba, kauli ya mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba aliyoitoa bungeni hivi karibuni imeungwa mkono na msanii wa kizazi kipya Bonta.
Mwenyekiti Jaji Warioba alisema maoni ya wananchi anataka serikali tatu, serikali ya Zanzibar, serikali ya Zanzibar na serikali ya Muungano…Bonta huyu hapa.
 

Post a Comment

أحدث أقدم