Man United Vs Man City leo Jumanne 24/3/2014


man-united-vs-man-city
David Moyes amejipunguzia presha baada ya kushinda mara mbili lakini timu yake ilichapwa na Man city ndani ya Etihad Stadium mwanzoni mwa msimu huu. Ila tunataka kuona nini timu yake itafanya leo.
David Moyes atajitahidi kuhakikisha timu yake inashinda leo na kuwabania Man City kuutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza, wakati huo huo atakuwa anatarajia kulipiza kipigwa cha mbwa timu yake ilichopigwa ndani ya uwanja wa Etihad Stadium mwezi wa tisa walipochapwa 4-1
Katika mechi ilizopita Man United iliwashinda Olympiakos 2-0.

Post a Comment

أحدث أقدم